Mkekabet wapotea hewani|www.mkekabet.co.tz


Mkekabet tanzania
Mkekabet apk tz


Kampuni ya kubashiri ya mkekabet ilipotea hewani tangu juni 20 huku ikiwa haipatikani katika tovuti yake na katika mitandao ya kijamii

WADAU WALALAMIKA.

Wachezaji mbalimbali waliokuwa wakicheza na kampuni hii wamelalamika kutokana na miamala yao kukwama huku wasijue chakufanya.

TUMEJARIBU KUWATAFUTA

Juhudi za kuwasiliana na mkekabet hazikufua dafu kwani wagajatoa taarifa yeyote Wala kujibu ujumbe wetu.

NINI KIMETOKEA?

kwakuwa mkeka beti hawajatoa taarifa yeyote hakuna anayejua Nini KIMETOKE

Soma pia >Kampuni Bora za kubeti Tanzania

SIO HALI YA KAWAIDA

Kwa kawaida linapotekea tatizo la kiufundi au matengenezo hutolewa taarifa lakini mpaka sasa mkekabeti hawajatoa taarifa yeyote.

ILIWAHI KUTOKEA?

Ndio, kwa Tanzania kampuni Kama Wakabet, na M-cheza ziliwahi kupotea ghafla na hazikuwahi kuonekana tena huku M-cheza ikiendelea kuendesha shughuli zake Kenya.

TUNAENDELEA KUTAFUTA TAARIFA

Mdau wetu tunaendelea kutafuta taarifa kuhusu mkeka beti endelea kufuatilia mtandao huu.

Soma pia >App nzuri za kubeti Tanzania

Post a Comment

4 Comments

 1. Replies
  1. Tena kabisa unalipia ela ujui inapoenda

   Delete
 2. Kampuni yenu inatupatia changamoto sana

  ReplyDelete
 3. Yani mtu unalipia harafu uoni Tena pakuiƱgia kampuni yenu mnafanya tunawachukia

  ReplyDelete