Kujisajili Meridian Bet Tanzania

Kujisajili meridian bet sio Jambo gumu. Wadau mbalimbali wa michezo ya bahati nasibu Tanzania wamekuwa wakiuliza namna ya kufungua account ya meridian bet mtandaoni. Katika makala hii tutaain8sha Hatua kwa Hatua jinsi inavyoweza kujisajili meridian bet Tanzania. Unaweza kujouliza Kwanini Ni Muhimu kufungua account ya meridian bet Tanzania? Meridian bet Tanzania Ni kampuni ya michezo ya bahati nasibu ya mtandaoni na katika maduka. Vilevile kampuni ya kubeti ya meridian huendesha michezo mbalimbali ya kasino za mtandaoni. Ili kujiunga na meridian Bet Gusa >Hapa> kwa ofa na Bonasi mbalimbali kutoka meridian Bet 

Table of contents (yaliyomo)

  • JINSI YA KUJIUNGA MERIDIAN BET TANZANIA 
1.1 Promo code ya Meridian Bet Tanzania
  • FAIDA ZA KUBET NA MERIDIAN BET
  • JINSI YA KUWEKA PESA MERIDIAN BET
  • MAWASILIANO YA MERIDIAN BET 
Jinsi ya kujiunga na Meridian Bet Tanzania
Kama tulivyokwisha kueleza katika Aya tangulizi kuwa kufungua account ya meridian bet Ni rahisi fuata Hatua hizi kujiunga na meridian bet
  1. Gusa >Hapa> ikifunguka Jaza namba yako ya simu ya mkononi bila kuanza na 0, kwa mfano 766605392
  2. Jaza neno au namba ya Siri ambayo utaikumbuka
  3. Dhibitisha neno la Siri kwa kulijaza Tena Kama ulivyojaza hapo juu nilazima yafanae
  4. Bofya kiduara na uingize promo code ya meridian Bet Tz ambayo ni 7113
  5. Bofya kiduara Cha kukubali sheria na masharti (kibox✓)
  6. Bofya Regist (jisajili) kukamilisha usajili wako
Angalia screenshot jinsi ya kufungua account ya meridian Bet 


Promo code ya Meridian Bet Tanzania
Promo code Ni msimbo maalumu kwaajili ya kupata Bonasi mbalimbali kutoka meridian bet . Kwasasa promo code ya meridian bet utatakiwa kujaza namba hizi 7113. Bonasi mbalimbali ambazo zinapatikana meridian bet Tanzania nipamoja na Bonasi za kasino, Bonasi ya ukiweka pesa/deposit kwa Mara ya kwanza, freespin Hadi 50 za bure kwenye kasino za meridian bet, Bonasi ya maokoto na Bonasi nyingine nyingi kutoka meridian bet Tanzania.

Jinsi ya kuweka pesa Meridian Bet Tanzania, unaweza kuweka pesa kwenye account yako ya Meridian bet Tanzania kwa kubofya sehemu iliyoandikwa deposit na kufata maelekezo ambayo utapewa. Vilevile unaweza kudeposit Meridian bet kwa njia ya USSSD Kama ifuatavyoa,
  1. Kuweka pesa Meridian bet kwa Mpesa Tanzania
      1. Bofya *150* 00 # kwenye simu yako
      2. Chagua 4 lipa kwa Mpesa ,
      3. Ingiza namba ya biashara ya meridian bet ambayo ni 170066 ,
      4. Ingiza akauti I'd yako kama namba ya kumbukumbu , 
      5, ingiza kiasi Cha pesa unachotaka kuingiza
       6, ingiza namba ya Siri na dhibitisha muamala 
2. Kuweka pesa Meridian bet kwa Tigo pesa 
Kuweka pesa Meridian Bet kwa Tigo pesa
 1. Bonyeza *150*01 # kwenye simu yako
 2. Chagua 4 kwa malipo ya kwenye menu yako ya Tigo pesa 
3. Chagua namba 2 ingiza namba ya biashara, 
4. Ingiza namba ya biashara  444999 , 
5 ingiza account  Id Kama namba ya kumbukumbu 
6. Weka kiasi 
7. Jaza namba yako ya Siri na udhibitishe muamala

Kuweka pesa Meridian bet kwa njia ya Airtel money
1. Piga *150*60#
 2, chagua 5 lipa bili
 3. Chagua 6 bahati nasibu, 
4 Andika 8 ili kuchagua meridian bet 
5. Weka kiasi unachotaka kuweka  
6. Weka account ID yako kama namba ya kumbukumbu ya malipo, 
7. Weka namba yako ya Siri na udhibitishe muamala
NB. kumbuka hela inaweza kuchukua mpaka dakika moja kuingia kwenye account yako ikiwa unapata changamoto yeyote wasiliana na huduma kwa wateja Meridian bet.

MAWASILIANO YA MERIDIAN BET
Unaweza kuwasiliana na huduma kwa wateja meridian bet ambayo hufanya kazi 24/7 kwa namba ya simu +255768988200
au email support@meridianbet.co.tz au kupitia love chat