Kujiunga mkeka bet

 


 

Mkekabet tanzania
Kujisajili mkeka bet


Kujiunga Mkekabet

Kampuni ya kubeti ya mkekabet Sasa inapatikana hewani ikiwa na huduma mbalimbali za michezo ya kubeti, mchezaji wa mkekabet atalazimika kujisajili upya ili uweze kutumia mkekabet

Soma pia 888 bet Tanzania Bonus

Contents

Kujisajili mkekabet 

Mkekabet apk download

Mkekabet login

Kuweka pesa mkekabet 

Namba ya mkekabet


KUJISAJILI MKEKABET 

Ili uweze kufungua account ya mkekabet unatakiwa kutembelea tovuti yao ya mkekabet ambayo ni ( www.mkekabet.co.tz) jaza taarifa zako Kama  namba yako ya simu pamoja na neno lako la Siri na kukamilisha usajili. Kumbuka kukubaliaana na sera na masharti ya program hiyo ya mkekabet.

SOMA PIA KAMPUNI BORA ZA KUBETI TANZANIA

MKEKABET APK DOWNLOAD ANDROID AND IOS

unaweza kuinstall mkekabet apk katika yuvuti Yao na kuanza kunitumia katika simu yako ya mkononi. Tembelea tovuti ya mkekabet kupakua


Mkakabet login 

Baada ya kujisajili na mkekabet Sasa unaweza kulogin kwenye account yako ya mkekabet na kuanza kufurahia huduma za kampuni hiyo ya kubeti.


JINSI YA KUDEPOSIT MKEKABET

Kuweka hela kwenye account yako ya mkekabet ni rahisi,  kwanza hakikisha unacho kiasi Cha fedha katika Mpesa, Tigo pesa au halopesa, Ingia katika tovuti ya mkekabet, Bofya palipoandikwa deposit, Kisha chagua kiasi, utatumiwa ujumbe wa pop katika simu yako dhibitisha utakiona kiasi kimeingia moja kwa moja katika account yako ya mkekabet, unaweza kudeposit mkekabet kwa kutumia namba ya biashara ya 238844.

GUSA HAPA KULIPWA KILA MKEKA WAKO UKICHANIKA

Faida za kubet  na mkekabet

✓malipo ya haraka

✓Bonasi ya 200% ya ukaribisho

✓michezo mingi Kama vile virtual, casino, sportybet, etc,

Hasara za kubet mkekabet

✓ huwezi kuweka hela kwa njia ya online bank

✓ hakuna ligi ya Tanzania

✓ hakuna mchezo wa aviator

MAWASILIANO YA MKEKABET

Unaweza kuwasiliana na mkekabet kupitia live chart katika tovuti yao.


Reference

www.mkekabet.co.tz

www.masshele.com


Mashele

I'm emanuel Masshele, experienced in igaming content writer, betting and casino review, igaming bussines, and affiliate marketing expert

Post a Comment

Previous Post Next Post