Sababu Mbet kufunga Huduma Tanzania





 Kampuni kongwe Ya kubashiri mtandaonu ya mbet imesitisha huduma zake nchini tanzania baada ya miaka mingi ya huduma bora kwa watumiaji wake, hii imekuja miezi kadhaa baada ya kampuni nyingine kubwa Winprinces kutangaza kufunga huduma Tanzania

Sababu za Mbet kufunga Huduma zake Tanzania .

Hadi makala hii inaruka hewani uongozi wa Mbet bado haujatoa sababu rasmi za kuamua kufunga huduma Tanzania pamoja na juhudi mbali mbali za kuwasiliana nao

Zifuatazo zinaweza kuwa sababu za kusitisha huduma.

1. Gharama za uendeshaji za juu, pamoja na kuwa ba idadi kubwa ya wachezaji kampuni ya kubashiri ya Mbet huenda ilikubwa na gharama kubwa katika uendeshaji

2. Gharama za Leseni za uhuishaji pamoja na Kodi

3. Ushindani , Hii inaweza kuwa sababu kubwa ya usitishaji wa huduma ,kutokana na uwepo wa kampuni lukuki , kukosekana kwa Casino , virtual sports , live games , kunaweza kuchangia kushindwa katika ushindani

Kampuni zipi ni mbadala wa Mbet ,

Zipo kampuni mbalimbali zinazoweza kutumika kama mbadala wa wa Mbet kama ifuatavyo

1. Pmbet Tanzania bofya >HAPA> kuingia

2. Gal sport Tanzania bofya >HAPA> kuingia

3. Meridianbet Tanzania  bofya >HAPA> kuingia

4. 888bet Tanzania  bofya >HAPA> kuingia


Nini kifanyike ili kuepuka usitishwaji wa Kampuni mara kwa Mara?

Sababu tunaweza kuzigawa katika makundi mawili, moja ni upande wa kampuni zenyewa na pili upande wa mamlaka husika.

  • Sera nzuri , pamoja na kodi za wastani
  • Kampuni ziajiri watu wenye uwezo mzuri wa kufanya kazi hasa vitendo vya marketing na customer care
  • Mifumo rahisi
  • Kuwa na michakato ya kutafuta VIP player
  • Kuwekeza online beting na katika maduka
  • Kuwa na huduma zote , Kasino na michezo
  • Kupunguza gharama za uendeshaji
Mwisho:







Post a Comment

0 Comments