Jinsi ya kujiunga Db-bet kwa Urahisi na Kupata Bonasi

Db-bet ni kampuni ya kimataifa ya kuweka madau mtandaoni pamoja na kucheza michezo ya kasino, kampuni hii inapendwa na watu wengi kutokana na kuwa na options nyingi za kubeti,  malipo ya haraka, na urahisi wa kutoa na kuweka pesa pamoja na bonasi  za ukaribisho. Katika makala hii tutajadili mambo mbalimbali kuhusu Db bet kama jinsi ya kujiunga, promo code ya Db bet A84, kuweka na kutoa pesa miongoni mwa mambo mengine.
Jinsi ya kujiandikisha Db bet kwa watumiaji wapya
Kila mtu angependa kujua jinsi ya kujisajili katika kampuni ya Db-bet kwa urahisi. Sasa hapa tumekuwekea hatua rahisu jinsi ya kujiunga.
 1. Kujisajili kwa 1click 
Hii ndio njia rahisi zaidi ya kujiunga ambapio
- Tembelea tovuti ya db-bet.com Au bofya >HAPA> kupakua App ya Db-Bet
- Bofya register au jisajili 
- chagua One- click
-Jaza promo code ya bonasi A84
-bofya kibox cha kukubali sheria na masharti
- Bofya jisajili.

Angalia picha hapa Chini mchakato wa kujiunga Db-bet kwa one-click
kujiunga kwa njia hii unatakiwa kujaza promo code Ya Db-bet peke yake pamoja na kubofya kibox cha kukubali sheria na masharti ili kujiandikisha.Kumbuka kuhifadhi password  na id number 
2. Kujisajili kwa Namba Ya simu 
Njia hii ni ya kujiandikisha kupitia namba yako ya simu ambapo unatakiwa kufanya hatua hizi ili ukamilishe usajili wako. 
-Tembelea Tovuti ya Db-bet.com au Bofya >HAPA>
- Chagua kujisajili by phone number kisha jaza namba ya simu
-Bofya send sms (tuma ujumbe ) utapokea Code jaza
-Jaza jina la kwanza
-Jaza jina la ukoo
-Jaza promo code A84
-Kubali sheria na masharti
-Bofya Register.

Angalia picha hapa chini jinsi ya kujiandikisha Db Bet kwa kutumia namba ya simu
Mchakato Rahisi wa kujiunga Db-Bet kwa kutumia number ya simu .

Njia za kuweka na Kutoa Pesa Db-bet
Zipo njia mbalimbali za kuweka na kutoa pesa katika account yako Ya Db-bet ili kuwrza kuingia katika simu yako. Njia hizo ni pamoja na M-pesa, Halopesa, Airtel money, Mix by yas, Njia za kidigitali kama skrill, n.k  
Chagua njia ambayo itakuwa rahisi kwako kuweka na kutoa pesa. Kama umejisajili kwa number ya simu tumia mtandao husika. Kumbuka njia utakayotumia kuweka pesa njia hiyo hiyo ndiyo itakayotumika wakati wakutoa pesa
Chagua kati ya withdrawal  na deposit ,
Je una chagamoto yoyote na ungependa kuwasiliana na Db-bet unaweza kuwasiliana kupitia barua pepe kama zinavyoonekana katika picha hapa chini
Mwisho : Kumbuka kucheza kistaarabu na kuweka kiwango ambacho unaweza kumudu endapo utapoteza.


Post a Comment

0 Comments