![]() |
Bango la Betway tz |
Katika makala hii tutaangazia kuhusu Betway Tanzania , kampuni ya michezo ya bahati nasibu mtandaoni pamoja na ubashiri wa mpira wa miguu. Betway ilizinduliwa na kuanza kufanya kazi Tanzania tangu 2020. Ikisifika kutoa huduma Bora kwa wateja Kama vile malipo ya haraka pamoja na uwepo wa machaguo mengi.
Je Betway imesajiliwa kwa mujibu wa Sheria na bodi ya michezo ya bahati nasibu?
Ndio Betway ilisajiliwa na inafanya kazi kihalali ambapo imesajiliwa na kupewa leseni namba SB10000000037 na OC000000019 .
YALIYOMO
- Promo code ya Betway Ni TZA84
- Jinsi ya kujisajili Betway
- Njia za kuweka pesa Betway
- Mawasiliano
- Ushauri
Promo code ya Betway Tanzania
Hii Ni mchanganyiko wa namba na herufi maalumu ambao hutumika wakati wa kujisajili Kama utambulisho wa kupokea bonasi pindi utakapojisajili na kuweka Amana yako kwa Mara ya kwanza. Pro code ya betway utatakiwa kujaza TZA84
Jinsi ya kujisajili Betway
Kujisajili au kufungua account ni mchakato mfupi utakaokuwezesha kuwa na account kwaajili ya kubeti michezo yako pamoja na kucheza casino mbalimbali kutoka Betway . Huu hapa no mchakato mfupi jinsi ya kufungua account yako ya betway mtandaoni
- Tembelea tovuti ya betway Tanzania www.betway.co.tz au Bofya >HAPA>
- Jaza namba yako ya simu
- Tengeneza password yako
- Jaza promo code TZA84
- Kubali sheria na masharti
- Bofya jisajili
- Unaweza kudeposit na kuendelea na Hatia nyingine
![]() |
Screenshot ikionesha Hatua za kujisajili Betway Tanzania |
Njia za kuweka pesa Betway Tanzania
Unaweza kuweka pesa kwenye account yako ya betway kwa urahisi kupitia njia hizi
- Mpesa
- Tigo pesa
- Airtel money
- Selcom
Njia hizo hutumika pia wakati ukihitaji ku withdraw pesa kwenye account yako
Mawasiliano
Je unashinda au changamoto yoyote na ungependa kuwasiliana na Betway Tanzania? Unaweza kuwasiliana na Betway Tanzania kupitia namba ya simu 0746986050au barua pepe, support@betway.co.tz au katika mitandao ya kijamii Andika Betway Tanzania.
Ushauri.
Kumbuka hairuhusiwi kubashiri ikiwa umri wako Ni chini ya miaka 18. Pia unakumbushwa kubashiri kistaarabu , na kuweka kiwango unachoweza kuhimili Kama utapoteza. Karibu katika makala nyingine.