Karibu ndugu msomaji ujinze namna ya kuweka pesa kwenye account yako ya 888 bet Tanzania kwa kutumia njia ya M-PESA. Kwanza unatakiwa kufahamu unaweza kuweka pesa kwa kutumia njia mbalimbali za miama la kifedha Kama vile halopesa, Tigo pesa na welcome, Hapa tutajadili jinsi ya kudeposit 888 bet kwa Mpesa


-Kwanza unatakiwa kujisajili au kuwa na account ya 888 bet Tanzania Kama hauna account ya 888 bet Tanzania Gusa >>HAPA>>

- Bofya sehemu iliyoandikwa Weka pesa Kisha fanya Hatua hizi kwenye simu yako

  • Piga *150*00#
  • Chagua 4 - LIPA Kwa MPesa
  • Chagua 4 - Weka namba ya kampuni
  • Weka namba ya kampuni (808888)
  • Weka namba ya kumbukumbu ya malipo (888)
  • Weka kiasi (Kima cha chini ni TZS 100)
  • Weka namba ya siri
  • Chagua 1 kuthibitisha muamala

Muhimu kumbuka 888 bet ndio kampuni namba moja kwa Sasa Tanzania kutokana na kutoa Bonasi za Mara kwa Mara huduma nzuri kwa wateja, jackpot ya bure ya Kushinda hadi 500,000,00 bure.