Kushinda mkeka ni ndoto ya kila mwekezaji wa mkeka. Na mchezaji hujiskia vibaya pale tiketi yake itakapopoteza. Kupoteza mkeka no Jambo la kawaida lakini sio sahihi kupoteza mkeka wako kila siku. Hapa nimekuwekea sababu Tano Kwanini unapoteza mkeka Mara kwa Mara.

1. Usiwe na tamaa, kwa lugha ya kitaa usibetie njaa. Kubetia njaa nipale unapotaka Kushinda fedha kubwa huku ukiweka day dogo Sana. Mfano umeweka 1000 Kushinda mamilioni. Inaweza kutokea unashinda lakini ni Mara chache chache kwa watu wachache. Fuata kanuni hii. Dau kubwa odds chache.

2. Haubeti kisataarabu

Kubeti hovyo hovyo  nisababu nyingine inayosababisha kupoteza mikeka yako Mara kwa Mara, nimuhimu kujua niwakati gani wakuweka mkeka na niwakati gani unatakiwa kupumzika na kupangilia bajeti yako vizuri. Nimuhimu kufahamu mchezo wa betting nikwaajili ya kujifurahisha. Betia ziada.

3. Hujachagua kampuni sahihi 

Nimuhimu kuchagua kampuni sahihi yakuweka mikeka yako yenye machaguo mengi ambayo itakupa uwanja Mpana wakushinda mkeka wako 

Baadhi ya kampuni zinazokufaa kwaajili ya kuweka mkeka nihizi,

1. Gals sport Jiunge kwa kugusa >HAPA>

2. 888 bet Tanzania Jiunge >>HAPA>>

3. Premierbet tz apk Jiunge >>HAPA>>

5. Betway Africa join >>HERE>

6. Helabet Bonasi 300,000 Jiunge kwa kugusa >HAPA> promo code ya bonus ingiza hl_1442


4. Hufuatilii mienendo ya timu 

Nimuhimu kuwa na takwimu kuhusu timu unayotaka kuiweka katika tiketi yako, je inaruhusu magoli mfano, PSG, arsenal, Manchester City, Real madrid Bayern? N.k nimuhimu kuyajua hayo na mienendo mingine yatimu husika.

Mwisho

Zingatia mambo tajwa hapo juu huenda yakaongeza uwezo wako wakushinda mikeka yako. Tukutane katika makala ijayo