Kampuni mpya za kubeti Tanzania

 


Watu wengi wamekuwa wakiuliza kuwa kampuni mpya za kubeti tanzania ni zipi? Makala hii unaenda kujibu swali hili kwa kuorodhesha makampuni mapya ya kubeti hapa nchini na jinsi ya kujiunga nayo 

888bet Tanzania 

Hii ni kampuni mpya ya kubeti hapa nchini na afrika kwa ujumla. Ikiwa na wateja zaidi ya milioni 50 kote duniani kampuni ya 888bet holding ilifungua shughuli zake rasmi mwezi November mwaka Jana ambapo kupitia 888bet Tanzania unaweza kubeti michezo ifuatayo

-Mpira wa miguu

-Tenisi

-boxing

-aviator na michezo mingine mingi ya kasino mtandaoni.

UTAJIUNGAJE NA 888BET TANZANIA?

ili uweze kujiunga na 888bet Tanzania Bofya >HAPA> na ujaze taarifa Muhimu za kujiunga, Weka salio na uanze kucheza.

Helabet Tanzania

Hii ni miongoni mwa kampuni zilizoanzishwa mwaka Jana kwaajili ya kuendesha shughuli zake hapa nchini. Baadhi ya faida za Helabet ni Bonasi yake ya ukaribisho pale mchezaji anapojisahili na kuweka fedha anapokea Bonasi sawa na kiasi alichoweka. Helabet inafanya kazi pia katika nchi za Nigeria, Kenya, na India.

 Ili uweze kujisajili na helabet Tanzania unatakiwa kubofya >HAPA>> na ujaze taarifa zako za usajili. Promo code ya kujisajili Helabet Tanzania ni A84

Betway Tanzania

Pamoja na kuwa Betway kuwa miongoni mwa kampuni kongwe za kubeti lakini ilianza kufanya shughuli zake hapa nchini mwishoni mwa mwaka 2021. Betway pia inafanya kazi zake katika nchi mbalimbali za Africa Kama ifuatavyo

Betway Kenya

Betway Uganda

Betway Malawi

Betway Mozambique

Betway south Africa

Betway Ghana

Kujiunga na Betway Tanzania Gusa >>HAPA>

Kingbet Tanzania 

Hii ni miongoni mwa kampuni mpya hapa nchini zilizoanzishwa mwaka Jana. Kingbet hutoa huduma za kubeti soccer na na michezo mingine mtandaoni kwa hapa Tanzania. 

Soma pia KAMPUNI BORA ZA KUBETI TANZANIA 2023

Gwalabet Tanzania

Kampuni ya gwala beti inahitimisha Orodha ya kampuni mpya za kubeti zilizozinduliwa hivi karibuni na kupewa leseni ya kuendesha shughuli za kubeti tanzania. Gwala bet ilianzishwa mwishoni mwa mwaka Jana 2022

Hitimisho

Tutaendelea kuongeza kampuni mpya nyingine zitakazoongezeka baaada ya kuandika makala hii 

Post a Comment

0 Comments