Tembo bet Tanzania

 

Tembo bet

Tembo bet Ni miongoni mwa makampuni ya kubeti Tanzania. Tembo bet kwa Mara ya kwanza ilikuwa inapatikana mtandaoni kwa jina la betx Tanzania kabla ya kubadili jina Hilo na Sasa inajulikana Kama tembo bet. Na hupatikana katika tovuti ya www.tembobet.co.tz Tembo bet imesajiliwa na bodi ya michezo ya bahati nasibu Tanzania. - Betx Limited, Licensed by Gaming Board of Tanzania. License number: SBI000000020 

Hivyo tembo bet inafanya kazi kwa mujibu wa sheria na na taratibu za bodi ya michezo ya bahati nasibu Tanzania. 

Soma pia: KAMPUNI BORA ZA KUBETI TANZANIA

Jinsi ya kujisajili Tembo bet Tanzania

Kujisajili Tembo bet Tanzania tembelea tovuti ya tembobet tz na ujisajili kwa kuweka namba yako ya simu pamoja na password yako. Hakikisha unakumbuka password yako ili ikusaidie wakati ukitaka kulogin katika tovuti ya tembo bet tanzania.

Kuweka pesa Tembo bet 

Unaweza kuweka pesa katika account yako ya tembo bet kwa kutumia njia za kuweka pesa kwa simu ya mkononi Kama vile Mpesa , Tigo pesa, Airtel money na kadhalika. Vile vile unaweza kutoa pesa kwa njia hiyo 

Tembo bet Apk tz

Unataka kupakua Application ya tembo bet Tanzania? Kwasasa hakuna app ya tembo bet unaweza kuendelea kubeti kupitia tembo bet kupitia tovuti Yao ya mtandaoni ambayo ni tembobet.co.tz

Mawasiliano ya tembo bet Tanzania

Unataka kuwasiliana na tembo bet Tanzania? Unaweza kuwasiliana na tembo bet kupitia ukurasa wa Facebook tafuta tembo bet, au katika tovuti ya tembo bet kupitia live chat au unaweza kuwapigia simu katika namba hizi. Vile vile unaweza kuwatumia barua pepe


Post a Comment

Previous Post Next Post