Bonusbet Tanzania|bonusbet tz | bonusbet tz apk |www.bonusbet.co.tz


Bonusbet Tanzania Sasa imesajiliwa na kuanza kuendesha shughuli zake Tanzania. Kwa mujibu wa bonusbet imesajiliwa kwa taarifa zifuatazo "Bonusbet is owned by Bonanza Gaming limited with internet sport betting licence no SB1000000048 all correspondence to Director general 27th floor PSPF floor mission street postal address P.O.box 1717 Dar es salaam Tanzania"

JINSI YA KUJISAJILI NA BONUS BET TANZANIA

  • Kufungua account ya bonus bet tanzania tembelea tovuti  au app ya bonusbet Tanzania au Bofya >Hapa> Kisha Jaza taarifa tajika  
  • Jaza namba yako ya simu pamoja na nywila neno Siri Kisha Bofya jisajili
  • Angalia picha ya maelekezo jinsi ya kujiunga na Bonusbet hapa Chini
Picha ikionesha jinsi ya kujiunga na Bonusbet Tanzania


Bonasi za Bonusbet Tanzania 
Kama ilivyo kwa jina la bonusbet bet Tanzania wanazo Bonasi mbalimbali kwaajili ya wateja wao ambazo ni
  • Bonasi ya kuweka pesa bonusbet Tanzania
  • Cash out
  • Freebets  na Bonasi nyingine mbalimbali
Jinsi ya kuweka pesa bonusbet : ili kukamilisha kuweka pesa kwenye account yako ya bonusbet fuata Hatua hizi kwa Umakini 
  1. Hakikisha una salio katika mtandao wako wa simu Kama vile M-PESA, halopesa, Tigo pesa au Airtel money
  2. Ingia katika tovuti ya bonusbet (https://m.bonusbet.co.tz) au APK ya bonus bet na ubofye deposit au Weka pesa Kisha fuata maelekezo rahisi ili pesa yako iingie katika account yako ya bonusbet Tanzania. Unaweza kufanya Hatua hiyo pia kutoa pesa bonus bet kuingia katika account yako 
App nzuri za kubeti Tanzania Bofya >HAPA>
Bonus Bet Aviator 
Vilevile kupitia bonus bet unaweza kucheza mchezo wa Aviator ambao Ni maarufu kwa sasa.kucheza mchezo wa Aviator kupitia bonusbet tembelea tovuti ya bonusbet na chagua mchezo wa Aviator.

Mawasiliano ya bonusbet Tanzania 
unaweza kuwasiliana na bonusbet tz kupitia WhatsApp, live chat au kupiga simu kwa namba ya bonusbet Tanzania. Angalia Picha hapa chini.  0783454688 au piga simu bure kwa bonusbet 0800780505
Mawasiliano ya bonusbet Tanzania

Hitimisho : Bado tunaendelea kuhakiki huduma za Bonusbet tanzania. Kumbuka kubeti kistaarabu na kuweka kiwango ambacho unaweza kukihimili ukikosa. Tembelea tovuti hii Mara kwa Mara.

Post a Comment

0 Comments