![]() |
Jinsi ya kujisajili Betway Tanzania | betway.co.tz |Betway tz |
Betway tanzania Ni miongoni mwa kampuni za kubeti mtandaoni nchini tanzania. Betway imeenea katika nchi nyingi za Africa Kama vile, Malawi, Zambia, msumbiji, Kenya, afrika kusini , Ghana, Tanzania na nyinginezo. Betway Tanzania imesajiliwa na bodi ya michezo nasibu Tanzania kwa taarifa zifuatazo "Media Bay Limited iliyopo 429 Mahando Street, Masaki, Msasani Peninsula. S.L.P 38568, Dar es Salaam, Tanzania. Imepewa leseni na kusimamiwana Wizara ya Fedha na Mipango kupitia Bodi ya Michezo ya Kubahatisha ya Tanzania chini ya leseni Na. SBI000000037 na OC000000019. Hairuhusiwi kwa walio chini 18. Washindi wanajua wakati sahihi wa kuacha.
KUFUNGUA ACCOUNT YA BETWAY GUSA >HAPA>
Yaliyomo
- Jinsi ya kujisajili Betway Tanzania
- Bonasi za Betway Tanzania
- Betway aviator
- Jinsi ya kuweka pesa Betway Tanzania
- Kupakua apk ya betway tanzania (Betway tz apk download)
- Hitimisho.
JINSI YA KUJISAJILI BETWAY TANZANIA
ili kujisajili na Betway tz unatakiwa kufuata Hatua zifuatazo ili uweze kujiunga na Betway Tanzania Kama ifuatavyo
- Bofya >Hapa> ili kufungua account ya betway tanzania
- Jaza namba yako ya simu pamoja na password
- Kamilisha usajili na Betway tz
BONASI ZA BETWAY TANZANIA
Betway tanzania Ni miongoni mwa kampuni za kubeti Tanzania ambazo hutoa Bonasi mbalimbali kwa wateja wake Kama vile
- Bonasi ya kuweka salio kwa Mara ya kwanza
-Bonasi za kasino
-Cashout kubwa
-Bonasi za kucheza aviator ya betway.
JINSI YA KUWEKA PESA BETWAY TANZANIA
Unaweza kuweka pesa Betway Tanzania kupitia Simu yako ya mkononi Kama vile M-PESA, halopesa, Tigo pesa na Airtel money kwa njia ya moja kwa moja au njia ya USSD Kama ifuatavyo,
- KUWEKA PESA BETWAY KUPITIA M-PESA
- Piga *150*00#
- Chagua namba 5 "Lipa kwa M-pesa"
- Chagua namba 4 " Weka Namba ya Kampuni"
- Weka namba ya Biashara: 971772
- Weka namba yako ya Akaunti ya Betway kama kumbukumbu namba
- Weka kiasi unachotaka kuweka
- Weka namba ya SIRI kuidhinisha malipo
- Chagua 1 kuthibitisha
KUWEKA PESA BETWAY TANZANIA KUPITIA TIGO PESA
- Piga *150*01#
- Chagua namba 4 "Lipa Bili"
- Chagua namba 3 " Weka Namba ya Kampuni"
- Weka namba ya Biashara: 971772
- Weka namba yako ya Akaunti ya Betway kama kumbukumbu namba
- Weka kiasi unachotaka kuweka
- Weka namba ya SIRI kuidhinisha malipo
KUWEKA PESA BETWAY TZ KUPITIA AIRTEL MONEY
- Piga *150*60#
- Chagua namba 5 "Lipa Bili"
- Chagua namba 4 "Weka Namba ya Kampuni"
- Weka namba ya Biashara: 971772
- Weka kiasi unachotaka kuweka
- Weka namba yako ya Akaunti ya Betway kama kumbukumbu namba
- Weka namba ya SIRI kuidhinisha malipo
Vile vile unaweza kuweka na kutoa pesa Betway Tanzania kupitia Halopesa na Selcom Tanzania
KUPAKUA APP YA BETWAY TANZANIA (Betway tz apk download )
Unaweza kupakua app ya betway tz kwaajili ya simu yako ya Android, iOS, au blackberry kwa urahisi kabisa na kuanza kuweka mikeka yako na Betway Tanzania kwa njia rahisi ili kupakua app ya Betway Tanzania Bofya >Hapa> na ufate maelekezo.
HITIMISHO
kupitia Betway Tanzania unaweza kubashiri michezo mbalimbali Kama vile michezo ya Soka ligi mbalimbali, michezo ya virtual, michezo mbalimbali ya kasino za mtandaoni, mchezo wa aviator na michezo mingine mingi ndani ya Betway Tanzania.