Katika makala hii tutaeleza jinsi ya kujiunga na meridian bet Tanzania. Watu mbalimbali wamekuwa wakiuliza jinsi ya kufungua account ya Meridian bet tanzania. Meridian bet tanzania Ni miongoni mwa kampuni mbalimbali za kubeti mtandaoni na kwenye maduka nchini Tanzania
Table of contents
- Jinsi ya kujiunga na meridian bet Tanzania
- Promo code ya meridian bet Tanzania
- Jinsi ya kudownload meridian bet tz apk
- Jinsi ya kuweka pesa Meridian bet Tanzania
- Mawasiliano ya meridian Bet tanzania
JINSI YA KUFUNGUA ACCOUNT YA MERIDIAN BET TANZANIA (jinsi ya kujiunga na meridian Bet Tz)
Ili uweze kujiunga na meridian bet Tanzania unatakiwa kufuata Hatua hizi
- Bofya >HAPA> itakuelekeza katika tovuti ya meridian bet Tanzania
- Weka namba yako ya simu bila kuanza na 0 mfano 766605392
- Jaza password yako yenye idadi ya herufi 6 , mfano Tanzania
- Jaza Tena password yako kwa Mara ya pili.
- Bofya kiduara Cha promo code na ujaze promo code ya Meridian bet ambayo ni 1109 (Msimbo wa Ofa )
- Bofya kiduara Cha kukubali sheria na masharti (accept terms and conditions)
- Kamilisha usajili kwa kubofya Register
Angalia picha Hapa chini Hatua kwa Hatua jinsi ya kufungua account ya meridian bet tanzania
![]() |
Jinsi ya kufungua account ya meridian bet Tanzania |
PROMO CODE YA MERIDIAN BET (MSIMBO WA OFA)
Promo code ya meridian bet Ni code maalumu ambayo hutumika wakati wa kujisajili na husaidia kupata Bonasi mbalimbali wakati ukitumia meridian bet Tanzania. Promo code ya meridian bet Ni 1109 (palipoandikwa msimbo wa ofa jaza 1109
JINSI YA KUDOWNLOAD MERIDIAN BET TANZANIA APK (meridian bet apk tz download)
Kupakua app ya meridian bet Tanzania ni Jambo rahisi unaweza kupakua apk ya meridian bet tz apk katika simu yako kwa kubofya >Hapa> meridian bonus promo code 1109
JINSI YA KUWEKA PESA MERIDIAN BET
Kuweka pesa Meridian bet no Jambo rahisi unaweza kuweka pesa kupitia Simu yako ya mkononi Kama vile M-PESA, halopesa, Tigo pesa na Airtel money Ingia katika account yako na Kisha Bofya Deposit na ufuate maelekezo rahisi. Vilevile unaweza kutoa pesa kwenye account yako kwa kubofya Neno withdraw.
MAWASILIANO YA MERIDIAN BET TANZANIA
Je una tatizo lolote na unataka kuwasiliana na meridian bet tanzania? Unaweza kuwasiliana na meridian bet kwa njia ya barua pepe support@meridianbet.co.tz au kwa kupiga simu +255768988200 au kwa kupitia kuchat live kupitia tovuti ya meridian bet