WATEJA BETPAWA WASHINDA BILION 194.7 NDANI YA WIKI MOJA

 


Ni ushindi mkubwa katika tasnia ya michezo ya bahati nasibu barani africa. Katika kipindi Cha wiki moja zaidi ya Bilioni 194, na zaidi ya Milion 780 zitaingia ndani ya mifuko ya watu kutoka Betpawa more barani africa ambapo Betpawa inafanya kazi zake. Ambapo zaidi ya wateja Milion 1.2 ndio walioibuka na ushindi huo. Huku ushindi mkubwa kwa dau dogo ikitokea Tanzania ambapo mteja  alibashiri kwa dau la tsh 2200 nakushinda kitita kinono 373,634,975.00 (zaidi ya milioni 373 pesa ya madafu) vilevile wateja 175 walioshinda kila mmoja tsh 25,000,000 na zaidi. katika taarifa Yao Betpawa wameandika

"Imekuwa mfululizo wa ushindi uliovunja rekodi kwa wateja wa betPawa kote Afrika 🤩

Wateja 1,260,265 tofauti walishinda kati ya Jumamosi tarehe 21 na Jumatatu tarehe 30 Oktoba, na kuthibitisha kwa nini kaulimbiu ya betPawa ni ndogo, jishindie BIG kwa kujishindia dola 77,915,489.65$ "(194,788,724,125.00tsh) kwa pamoja 🤯


Watu 175 wa kipekee walijishindia USD 10,000 (25,000,000tsh) au zaidi, huku mshindi MKUBWA kuliko wote akigeuza dau la USD 0.88 (2200tsh) kuwa malipo ya USD 149,453.99 (Milion 373.634tsh) nchini Tanzania"
Hata hivyo betapwa kwa upande wa Tanzania inakabiliwa na changamoto ya mfumo wa utoaji pesa tatizo linaloshughulikiwa kwa haraka ili wateja waweze kutoa fedha zao

1 Comments

  1. Betpawa ndo kila kitu wanakupa ela yako kwa wakay awana mbambamba

    ReplyDelete
Previous Post Next Post