WASHINDI THRONE BET WAVUNJA REKODI

 

Logo ya Throne Bet Tanzania

Kama ilivyo kwa kampuni nyingine kampuni ya kubashiri mtandaoni na katika maduka Throne Bet tanzania, imetoa repoti ya kutoa malipo makubwa mwezi october 2023. Mwezi october ulikuwa wa Sina yake ambapo wachezaji mchezo wa kubashiri waliandika historia katika kampuni mbalimbali kwa kuibuka na ushindi mkubwa. Katika  Taarifa ya Throne bet wamedai kulipa ticket zote zilizoshinda bila kujali ukubwa wa mamilioni ya walioshinda.


Post a Comment

0 Comments