Promo Code Ya Meridianbet Tz


Meridianbet Ni Kampuni ya michezo ya kubashiri mikeka yenye michezo mbalimbali Kama mpira, michezo ya vikapu, tenesi na kasino za mtandaoni. Imesajiliwa na bodi ya michezo Tanzania. Meridianbet ndo Kampuni inayofanya vizuri zaidi kwa sasa kulinganisha na Kampuni nyingine kwasababu;

•Inamachaguo mengi zaid ya Kubeti (Option)

•Odds kubwa

•Bonusi ya 200% Ukijisajili na kudeposit kwa Mara ya kwanza

• Malipo ya haraka

•Bonusi ya kupoteza mkeka, ukipoteza mechi moja wewe bado Ni mshindi

Promo code ni namba maalumu kwaajili ya kujisajilia ambayo mara nyingi huambatana na bonasi pale unapojisajili ukaiweka kwa usahihi 

Promo code ya Meridianbet Tanzania

Promocode ya Meridianbet ni 7113 promo code hii ina ofa maalumu ukiweka kwa usahihi wakati unajisajili ofa hii ni maalumui kwa mteja mpya anayefungua account kwa Mara ya kwanza unaweza kuibuka mshindi na kujishindia simu janja mpya aina ya Samsung A24.

Jinsi ya kujishindia simu janja kutoka Meridianbet

1 .Ni rahisi Sana unatakiwa uwe mteja mpya

2 .Unatakiwa kujisajili au kufungua account kwa kubofya >>HAPA<< link ikifunguka,

i) weka number yako ya simu usianze na 0 Anza na 2557..

ii) Weka password yako ukichanganya maneno na tarakimu mfano Simba123

iii) Rudia Tena password yako kwa usahihi Kama ulivyoandika Hapo juu

iv) Kisha weka Promo code ya Meridianbet ambayo ni 7113 kwa usahihi

v) Kubali sheria na Masharti kwa kubonyeza On kitufe Cha kukubali

vi) Kamilisha usajili kwa kubonyeza register utatumiwa code ya uthibitisho copy kwa usahihi account yako itakua imewezesha tayari kwaajili ya kutumia

3 . Unatakiwa kudeposit au kuweka pesa kwanzia sh. 5000tsh au zaidi na uspin kwenye casino au uweke mikeka ndani ya Siku Saba ili uweze kuingia kwenye droo ya kujishindia simu janja aina ya Samsung A24.

Ofa hii Ni maalumu kwa promocode ya 7113 pekee zipo faida nyingi za kutumia promocode Hii utapokea bonus Mara mbili ya dau lako Mara tu baada ya kudeposit kwa Mara ya kwanza.

Hatua za Kudeposit meridianbet au kuweka pesa

Jinsi ya kuweka pesa Meridianbet Tanzania, unaweza kuweka pesa kwenye account yako ya Meridian bet Tanzania kwa kubofya sehemu iliyoandikwa deposit na kufata maelekezo ambayo utapewa ambayo ni chagua mtandao ulitumia kujisajili, Kisha weka kiasi unachotaka kudeposit kuanzia 1000 au zaidi, weka no. Yako ya simu ukianza na 2557.. na thibitisha muamala wako kwa kuweka no.yako ya Siri. Vilevile unaweza kudeposit Meridian bet kwa njia ya USSSD Kama ifuatavyoa,

  I) Kuweka Pesa Meridianbet kwa Mpesa Tanzania

      •Bofya *150* 00 # kwenye simu yako

      •Chagua 4 lipa kwa Mpesa,

      • Ingiza namba ya biashara ya meridian bet ambayo ni 170066 ,

      • Ingiza akauti I'd yako kama namba ya kumbukumbu, 

      • ingiza kiasi Cha pesa unachotaka kuingiza

       • ingiza namba ya Siri na dhibitisha muamala 

II) Kuweka peaa Meridianbet kwa Tigo pesa

 • Bonyeza *150*01 # kwenye simu yako

 •Chagua 4 kwa malipo ya kwenye menu yako ya Tigo pesa

•Chagua namba 2 ingiza namba ya biashara, 

•Ingiza namba ya biashara 444999, 

•ingiza account Id Kama namba ya kumbukumbu 

• Weka kiasi 

•Jaza namba yako ya Siri na udhibitishe muamala

III) Kuweka Pesa Meridianbet kwa njia ya Airtel money

•Piga *150*60#

•chagua 5 lipa bili

•Chagua 6 bahati nasibu, 

•Andika 8 ili kuchagua meridian bet 

•Weka kiasi unachotaka kuweka

•Weka account ID yako kama namba ya kumbukumbu ya malipo, 

•Weka namba yako ya Siri na udhibitishe muamala

NB. kumbuka hela inaweza kuchukua mpaka dakika moja kuingia kwenye account yako ikiwa unapata changamoto yeyote wasiliana na huduma kwa wateja Meridian bet.

MAWASILIANO YA MERIDIANBET

Unaweza kuwasiliana na huduma kwa wateja meridian bet ambayo hufanya kazi 24/7 kwa namba ya simu +255768988200

au email support@meridianbet.co.tz 

Mwisho.


Post a Comment

0 Comments