Jinsi ya kujisajili Sportybet Tanzania |Sportybet tz




 Sportybet Ni miongoni mwa kampuni za kubeti mtandaoni nchini tanzania.sportybet imesajiliwa na bodi ya michezo ya bahati nasibu tanzania tangu 2018. Katika makala haya tutaeleza Hatua za kuweza kujisajili Sportybet Tanzania

Yaliyomo

Kufungua account ya Sportybet 

Kuweka pesa Sportybet Tanzania

Kutengeneza password ya Sportybet tanzania 

Mawasiliano ya Sportybet Tanzania

  • Kujisajili Sportybet Bet tanzania
Ili kuweza kufungua account yako ya Sportybet tembelea tovuti ya sportybet au APK ya Sportybet tanzania au Bofya tovuti ya sportybet www.sportybet.com/tz Kisha Jaza namba yako ya simu mfano 07666053.. Kisha Jaza password yako utakayoikumbuka katika password yako ya Sportybet Tanzania hakikisha Ina vitu vifuatavyo
  1. Password ya Sportybet lazima iwe na tarakimu na herufi name
  2. Lazima kuwe na herufi ndogo moja au zaidi
  3. Lazima kuwe na herufi kubwa moja au zaidi
  4. Lazima ijumuishe namba moja au zaidi
  5. Kwa mfano, Tanganyika8 , kilimanjarO9, Mtakujatena5 
Kuweka Pesa Sportybet 
Ili uweze kuweka pesa kwenye account yako ya Sportybet hakikisha unasalio katika account yako ya kifedha katika simu yako.
Unaweza kuweka pesa Sportybet kwa njia zifuatazo
  • Kuweka pesa Sportybet Tanzania kwa M-PESA
  • Kuweka pesa Sportybet Tanzania kwa Tigo pesa
  • Kuweka pesa Sportybet Tanzania kwa Airtel Money
Ingia sehemu palipoandikwa deposit Kisha Weka kiwango, chagua mtandao, Weka namba ya Siri kukamilisha kudeposit katika account yako ya Sportybet Tanzania


Mawasiliano ya sportybet 
Unaweza kuwasiliana na Sportybet tz kupitia mitandao ya kijamii, live chat katika account yako ya Sportybet au katika namba ya simu ya Sportybet Tanzania
- email address tanzania.support@sportybet.com


Post a Comment

Previous Post Next Post