![]() |
Screenshot ikionesha Jinsi ya kucheza mchezo wa Aviator |
Aviator nimchezo maarufu duniani kwa Sasa ukichezwa kila pembe ya Dunia. Mchezo huu maarufu wa kurusha kindege uliasisiwa na kampuni ya teknolojia ya michezo iitwayo SPRIBLE INC tangu kuanzishwa umekuwa ukiwavutia wachezaji mbalimbali wa kasino za mtandaoni. Eidha kampuni ya sprible wanaeleza kwamba, RPT , kwa mchezaji Ni 97% ikiwa na maana kuwa mchezo upo katika kumnufaisha mchezaji zaidi kuliko game provider . Kampuni ya betting hunufaika kwa 3% tu huku uwezekano wewe Kushinda 97% (Maoni yangu ) hii nikweli kinachowafanya wengi wapoteze nipale wanapoishiwa mitaji na kutokuwa na mtaji wa kuendelea ili kipindi Cha returning kiwakute.
JINSI YA KUCHEZA AVIATOR
Ili uweze kuanza kucheza mchezo wa aviator maarufu Kama kindege fanya hivi
- Tembelea kampuni inayotoa mchezo wa aviator kwa uwazi Au Bofya >HAPA>kujiunga
- Weka salio kwenye account yako kumbuka kuweka mtaji kidogo unakuwa na nafasi kubwa yakupoteza na kushindwa kurudisha kiwango ulichopoteza, ikiwa umeingia wakati wa losting, hautaweza ku stay kwenye gemu mpaka wakati wa returng hivyo nakushauri kujipanga ili kuingia na mtaji wa kutosha
- Bofya sehemu palipoandikwa aviator au penye picha ya kindege
- Weka stake yako kwa kiwango kidogo mfano tsh 200 subiri round ianze,
- Cashout ushindi wako kabla kindege hakijalipuka (flew out)
- Rudia zoezi mpaka utakapozoea.
Je Kuna mbinu za Kushinda Aviator?
Hakuna mbinu za moja kwa moja zitakazokuhakikishia ushindi wa moja kwa moja lakini mbinu hizi zinaweza kukusaidia
- Mbinu ya kwanza nikuhakikisha unaingia na mtaji mkubwa ili uweze kucheza kwa muda mrefu ili uweze ku sarvaival kwenye kipindi Cha lost na kipindi Cha winning. Kama umeingia ukakuta kipindi Cha lost na mtaji wako ulikuwa mdogo maana yake hutoweza kucheza mpaka kipindi Cha winning .
- Mbinu namba mbili cheza kwa dau kubwa na uwahi kuchukua ushindi mapema
- Mbinu ya tatu cheza kwa dau dogo na uchelewa kuchukua ushindi
- Angalia historia
- Usicheze kwa tamaa nausiwe mwoga.
NB
Mara zote unakumbushwa kucheza kistaarabu, hasa kupumzika pale unapopitez a Sana. Usicheze ukiwa na mudi ya hasira. Cheza kwa kiwango ambacho unaweza kuhimili endapo utapoteza. Cheza fedha ya ziada na sio iliyomo katika matumizi.