Jinsi ya kujisajili Leonbet Tanzania

   



Kampuni ya kubeti ya leonbet Tanzania Sasa inapatikana tanzania. Huku ikiwa imesajiliwa na bodi ya michezo ya bahati nasibu Tanzania hivyo nisalama kwa watumiaji wote. Katika andiko Hilo tutaeleza jinsi ya kuweza kufungua account yako yako ya leonbet tanzania na kuaanza kubashiri tutapitia sehemu mbalimbali Kama ifuatavyo,

  • Jinsi ya kufungua Account ya leonbet tz
  • Jinsi ya kupakua app ya leonbet tz
  • Options zinazopatikana leonbet tz
  • Mawasiliano ya leonbet Tanzania 
  • Maswali yanayoulizwa Mara kwa Mara kuhusu leonbet Tanzania
Jinsi ya kufungua Account ya leonbet tanzania 
Kwanza unatakiwa kutembelea tovuti ya leonbet Tanzania au Bofya link ya leonbet Tanzania>Hapa>
Kisha fuata Hatua hizi ili uweze kufungua Account ya leonbet Tanzania
  1. Jaza taarifa zako tajika ili uweze kuwa na Account ya leonbet tanzania
  2. Jaza namba ya simu pamoja na Majina yako
  3. Bofya jisajili au fungua account 
  4. Weka pesa kwenye account yako ya leonbet Tanzania 
  5. Anza kufurahia huduma za leonbet Tanzania
Jinsi ya kupakua app ya leonbet Tanzania. Ili uweze kupakua app ya leonbet Tanzania unatakiwa kuingia katika tovuti ya leonbet Tanzania Kisha kubofya kupakua app ya leonbetm hakikisha umeseti katika simu yako kupokea au kudownload app ambazo zipo nje ya playstore

Options mbalimbali zinazopatika leonbet Tanzania
Zipo options mbalimbali zinazopatikana katika tovuti ya leonbet Tanzania kama ifuatavyo
  • Timu yoyote Kushinda 1/2
  • Timu ya ugenini Kushinda 2
  • Timu ya nyumbani Kushinda 1
  • Sare X
  • Sare au nyumbani 1X
  • Sare au ugenini X2
  • Idadi ya Kona
  • Idadi ya magoli
  • Timu kufungana 
  • Idadi ya kadi
  • Options ya handcup
  • Kubeti live
  • Cashout 
  • Mchezaji atakayefunga
  • Free kick
  • Virtual sport
  • Idadi ya save
  • Redcard
  • Yellow card
  • Timu ya kwanza kufunga
  • Magoli juu ya au chini ya
  • Timu ya kwanza kupata majeruhi
  • Timu ya kwanza kufanya sub na options nyingine nyingi
Mawasiliano ya leonbet , kwa Sasa unaweza kuwasiliana na leonbet Tanzania kwa kutumia barua pepe ya leonbet tz ambayo ni support@leonbet.co.tz au kuchati live katika tovuti ya leonbet Tanzania
Turakapopata namba ya huduma kwa wateja kutoka leonbet Tanzania turaboresha makala hii.

Maswali na majibu yanayoulizwa Sana kuhusu Leonbet Tanzania.
  1. Njia ya kuweza pesa leonbet Tanzania Nizipi? Unaweza kuweka pesa leonbet kupitia Mpesa, Tigo pesa, Airtel money halopesa na kadhalika
  2. Kiasi gani Cha kuweza kutoa pesa leonbet ? Unaweza kutoa pesa leonbet kwa kiasi kuanzia TSH 1000
  3. Je nirahisi kujiunga leonbet , jibu nindio
  4. Je naweza kuwa na account zaidi ya moja ya leonbet ? Kuwa na account zaidi ya moja nikosa kisheria.
  5. Je leonbet Kuna cashout , jibu nindio leonbet Tanzania Kuna cashout
  6. Je leonbet Kuna Bonasi ? Jibu nindio utakapojisaji na kuweka pesa utapokea Bonasi katika Account yako ya leonbet Tanzania : 
Hitimisho : kumbuka kubeti kistaarabu na kuweka kiasi ambacho unaweza kuhimili endapo utapoteza mkeka wako

Mashele

I'm emanuel Masshele, experienced in igaming content writer, betting and casino review, igaming bussines, and affiliate marketing expert

Post a Comment

Previous Post Next Post