Betway nikampuni ya kubashiri mtandaoni iliyosajiliwa kwa mujibu wa bodi ya michezo ya bahati nasibu Tanzania.
Betway inafanya kazi katika nchi mbalimbali africa kama vile, zambia, ghana, south africa, nigeria msumbiji miongoni mwa nchi nyingine.
Katika makala haya tutajadili hatu kwa hatua jinsi ya kuweza kujisajili na betway na kuwa na account yako ambayo utatumia kuweka mikeka mitandaoni. Hatua hizi nipamoja na
Kujisajili Betway Tanzania
- Kutembelea tovuti ya betway au bofya <Hapa>
- Jaza namba yako unayohitaji kufungualia account ya betway
- Tengeneza passwords yako ambayo utaikumbuka utaitumia ku login kwenye aaccount yako
- Je unapromo code? Bofya ndio ninayo kisha jaza promo code ya betway kwaajili ya bonasi ambayo ni TZA84
- Bofya vibox kwa kuweka alama ya tik kukubali sheria vigezo na masharti
- Bofya jisajili na udeposit kwenye account yako
Jinsi ya kuweka pesa kwenye account yako ya betway
Unaweza kuweka pesa katika account yako kupitia Mpesa, mixx by Yas, halopesa, airtel money
Kuweka pesa ingia katika account yako na ubofye sehemu iliyoandikwa deposit . Unaweza kudeposit automatic au kupitia ussd
Mwisho . Bashiri kistaarabu