Slotpesa Ni online kasino inayofanya kazi tanzania iliyosajiliwa kwa mujibu wa Sheria na bodi ya michezo ya bahati nasibu Tanzania na kupewa usajili wa namba leseni, 0CL000000013 na inamilikiwa na kampuni ya betfounder
Yaliyomo
1. Jinsi ya kujisajili Slotpesa Tanzania
2. Bonasi za slotpesa
3. Jinsi ya kucheza kasino za slotpesa mtandaoni Tanzania
4. Michezo ya kasino
5. Huduma kwa wateja
6.Hitimisho
JINSI YA KUJISAJILI SLOTPESA TANZANIA
Hapa tutajadili Hatua kwa Hatua jinsi ya kuweza kufungua account yako ya slotpesa kupitia simu yako ya mkononi
- Tembelea tovuti ya slotpesa www.slotpesa.co.tz au Bofya >HAPA>
- Jaza nambo yako ya simu ya mkononi
- Jaza password
- Rudia kujaza password
- Bofya next
- Utatumiwa msimbo au code kwenye namba ya simu uliyojaza
- Ingiza namba hizo na ujisajili
- Deposit kuanzi 5000 upokee Bonasi
Bonasi na promotion za slotpesa
Kama ilivyo kwa kampuni mbalimbali za casino na betting kampuni ya slotpesa hutoa Bonasi mbalimbali wa wateja Bonasi hizo Ni pamoja na
1. Bonasi ya kuweka salio kwa Mara ya kwanza
2. Bonasi ya kucheza Mara kwa Mara
Jinsi ya kucheza kasino za slotpesa mtandaoni Tanzania
Baada ya kuingia katika account yako ya slotpesa unatakiwa kudeposit kwa kupitia M-PESA, Tigo pesa, Airtel money, halopesa Kisha chagua mchezo unaoupenda Kama vile Aviator au jetxt na uanze kucheza , kitu Cha msingi Cha kuzingatia Ni kuangalia kiwango Cha kucheza mchezo huo kwa kila round michezo yote ni rahisi kucheza ipo ya kuzungusha (spin and win) michezo ya kurusha kindege na michezo ya slots za matunda. Ulisha seti kiasi unaweza kuruhusu mchezo na kuchukua ushindi wako . Kadri utakavyo cheza Mara kwa Mara utazoea mchezo . Unashauriwa kuanza kwa kucheza kiasi kidogo mpaka uufahamu mchezo ndipo uongeze dau
Michezo ya Casino za Slotpesa
Ifuatavyo Ni Orodha ya michezo mbalimbali inayopatikana katika tovuti ya slotpesa
- Aviator
- Jetx
- Spin and win
- Monopoly live
- Aztec gems
- 20 super hot
- Sweet Bonanza
- Hot to ban
- Shining crown mobile
- Classic fantastic
- Egypt fire
- Wolf saga
- Dala dala
- Flaming chillies
- Sevens & fruits
- Art of Gold
- Skyward
- 50 wild cash
- Aero
- Giga hot 40
- 20 burning hot mobile
- Sun of Egypt
- Hit the gold
- Jump
- Big bass Bonanza
- Chance mashine
- Live casino
Na kasino nyingine mbalimbali zaidi ya 3000 tembelea katika tovuti Yao kwa casino zaidi
Jinsi ya kuwasiliana na slotpesa Tanzania
Unaweza kuwasiliana na kwa kutumia namba za simu au kuchati live katika tovuti. Namba ya simu ya slotpesa tz Ni 0769544445 au barua pepe karibu@slotpesa.co.tz
Hitimisho
Kumbuka kucheza kistaarabu na kuweka kiwango ambacho unaweza kuhimili endapo utapoteza.