Umeshinda mkeka na hujalipwa Sababu hizi hapa



 Nitarajio la kila mwekezaji kunufaika na uwekezaji wake pale matokeo yanapotoka kama ulivyotarajia. Katika makala hii tutaainisha na kueleza mambo mbalimbali ambayo yanaweza kusababisha kutolipwa pesa pamoja na kushinda mkeka wako. Mambo hayo ni kama ifuatavyo

  • Upangaji wa matokeo, ikiwa kwenye mkeka wako umejumuisha fixed game hautalipwa mkeka wako na huchukuliwa kuwa ni fraud, kampuni za kubeti huweza kufahamu upangaji wa matokeo kwenye michezo husika na hivyo kuzuia malipo. NB fixed game sio predictions bali ni matokeo yaliyonunuliwa
  • Njia uliyotumia kuweka pesa Sio uliyotumia kutoa pesa: makampuni mengi ya kimataifa hutaka mteja kutumia njia sawa na aliyoweka kutokea pesa
  • Hujatimiza masharti ya bonasi : Baadhi ya kampuni zinazotoa first deposit bonus , bonasi hiyo huambatana na masharti , nimuhimu kuyasoma na ikiwa hukubaliani nayo unaweza kuachana na bonasi hiyo : kwamfano umepewa bonasi ya 500,000 yenye masharti kubetia mara 3 , wewe ukabetia mara 1 ukashinda 5,000,000 hautaruhusiwa kuitoa mpaka umekamilisha sharti la bonasi la kuibetia hiyo pesa mara 3.
  • Kuna tatizo la mtandao: Mara chache huweza kuwa na tatizo la mtandao hivyo kuchelewesha pesa yako kuingia kwenye account 
Je Nikweli unaweza kutapeliwa na Kampuni ya kubashiri?
Jibu ni hapana labda uwe umeweka pesa yako kwenye kampuni ambayo nimatapeli yani haijasajiliwa popote na ikiwa ni hivyo hautaweza kupata msaada wowote.

Je unaweza kuishtaki kampuni ya kubashiri?
Ndio , lakini kabla ya kufanya hivyo ni vyema uwasiliane nao kupitia huduma kwa wateja ili kujaribu kutatua changamoto yako. Kuwasilisha malalamiko kupitia bodi ya michezo ya Bahati nasibu GBT 

Post a Comment

0 Comments