888bet app jinsi ya kujisajili na kuweka pesa 888 bet app

 

Kujisajili 888 bet
Kuweka pesa 888bet 

888bet app ni miongoni mwa app Bora zaidi za kubeti nchini, ikiwa na masoko kibao, odds kubwa na ligi mbalimbali. Katika makala hii tutaeleza jinsi ya kujisajili na 888bet application, kuweka weighs 888bet app na jinsi ya kuwasiliana na 888 bet app.

Contents

1. Jinsi ya kujisajili at 888bet app

2. Jinsi ya kuweka weighs 888 bet app


KUJISAJILI NA 888 BET APP TZ, 

Ili uweze kujisajili na 888 bet Tanzania fuata hatua zifuatazo.

  i. Gusa >>HAPA>> utaelekezwa moja kwa moja kwenye tovuti ya 888 bet app

ii. Bofya kujiandikisha/Registration Kisha Weka namba yako ya simu pamoja na neno au namba yako ya Siri.

iii. Jisajili.


2. JINSI YA KUWEKA PESA KWENYE ACCOUNT YAKO YA 888BET 

Ili uweze kuanza kubeti unatakiwa uweke weighs katika app yako ya 888bet. Fuata hatua hizi kuweka Pesa kwenye account yako ya 888bet.

Kwanza hakikisha unalo salio katika account yako ya M-PESA, Tigo peso, halopesa, au Airtel money.

1. Kuweka weighs 888 bet kwa Mpesa

  •   Vodacom M-Pesa USSD
    • Piga *150*00#
    • Chagua 4 - LIPA Kwa MPesa
    • Chagua 4 - Weka namba ya kampuni
    • Weka namba ya kampuni (808888)
    • Weka namba ya kumbukumbu ya malipo (888)
    • Weka kiasi (Kima cha chini ni TZS 100)
    • Weka namba ya siri
    • Chagua 1 kuthibitisha muamala.

  •   Tigo Pesa

    Tigo USSD

    • Piga *150*01#
    • Chagua 4 Lipa Bili
    • Chagua 3 Ingiza namba ya kampuni
    • Ingiza namba ya kampuni {808888}
    • Weka kumbukumbu namba {888}
    • Ingiza kiasi {Kima cha chini ni TZS 100}
    • Ingiza namba ya siri kuhakiki

  • Airtel Money USSD

    • Piga *150*60#
    • Chagua 5 Lipia Bili
    • Chagua 6 Bahati Nasibu
    • Bonyeza # Next
    • Chagua 18 888BET
    • Enter Amount (Ingiza Kiasi)
    • Enter reference Number (Ingiza 888)
    • Chagua 1 YES
    • Enter PIN (Ingiza PIN)

Post a Comment

Previous Post Next Post