Tatu Mzuka Tanzania ni mchezo wa kubashiri namba zitakazoshinda katika drop ya kila baada ya dakika tano ambapo mchezaji hushinda Kati ya 200,000 mpka milioni 5, kiwango kiwango Cha kucheza ni kuanzia 500, mpka 30,000 huku Jackpot kubwa ya Kushinda kuanzia milioni 1, Hadi milioni 50 ikifanyika kila jumatano.

Jinsi ya kucheza Tatu Mzuka

Soma pia Njia za kubeti na kushinda kila siku

1. Chagua namba zako tatu za bahati mfano 685, 890,987,123,354,678,901, 256,899, 

2.  PIGA menyu yako ya malipo, hakikisha una kuanzia 1200 katika account yako 

Kisha fuata maelekezo haya kulingana na mtandao wako wa simu.

Jinsi ya kucheza TatuMzuka Tanzania kwa Tigo, Vodacom, Airtel & Halotel

Shinda hadi Mara 200 ya dau lakoPlay Tatumzuka with airtel
 1.  Bonyeza *150*00#
 2. Chagua namba 4 (Lipia Bili)
 3. Chagua 4 kisha weka namba ya kampuni(555111)
 4. Ingiza namba ya kumbukumbu(namba zako 3 za bahati Mfano 123)
 5. Weka kiasi cha Dau unalotaka kuingiza shilingi 500-30,000
 6. Ingiza namba yako ya siri, Bonyeza 1 kuthibitisha muamala wako
Play Tatumzuka with mtn

 1. Bonyeza *150*01#
 2. Chagua namba 4 (Lipia Bili)
 3. Chagua 3 kisha weka namba ya kampuni(555111)
 4. Ingiza namba ya kumbukumbu (namba zako 3 za bahati Mfano 123)
 5. Weka kiasi cha Dau unalotaka kuingiza shilingi 500-30,000
 6. Ingiza namba yako ya siri Bonyeza OK kuthibitisha muamala wako
Play Tatumzuka with mtn
 1. Bonyeza *150*88#
 2. Chagua namba 4 (Lipia Bili)
 3. Chagua 4 Bahati nasibu
 4. Chagua namba 2 TatuMzuka
 5. Ingiza namba ya kumbukumbu (namba zako 3 za bahati Mfano 123)
 6. Weka kiasi cha Dau unalotaka kuingiza shilingi 500 - 30,000
 7. Ingiza namba yako ya siri, Bonyeza 1 kuthibitisha muamala wako
Play Tatumzuka with airtel

 1. Bonyeza *150*60#
 2. Chagua namba 5 (Lipia Bili)
 3. Chagua 4 kisha weka namba ya kampuni(555111)
 4. Ingiza namba ya kumbukumbu (namba zako 3 za bahati Mfano 123)
 5. Weka kiasi cha Dau unalotaka kuingiza shilingi 500-30,000
 6. Ingiza namba yako ya siri Bonyeza OK kuthibitisha muamala wako