![]() |
Muonekano wa ukurasa wa nyumbani wa Nyota casino |
Jinsi ya kujiunga na Nyota casino, Nyota kasino Ni kasino za matandaoni nchini Tanzania ambazo unaweza kujiunga na kuanza kucheza mtandaoni. Nyota casino imezunduliwa mwezi September 2024 na kupewa leseni ya michezo ya bahati nasibu kwa mujibu wa Sheria.
Table of contents
- Jinsi ya kujiunga na Nyota kasino
-Jinsi ya kucheza
- jinsi ya kuweka pesa
-Hitimisho
JINSI YA KUJIUNGA NYOTA KASINO (NYOTA CASINO)
Fuata Hatua hizi kujisajili na kasino ya mtandaoni ya nyota casino
- Tembelea Tovuti ya nyota casino kwa kubofya >HAPA>
- Jaza namba yako ya simu na password
- Bofya jisajili
- Deposit kwenye account yako
- Anza kucheza
JINSI YA KUCHEZA
Ili kuanza kucheza hakikisha kwenye account yako Kuna salio. Kama hakuna unatakiwa kudeposit. Chagua mchezo husika Kama vile spin , Aviator, jetx au slots, Weka kiasi mfano TSH 200 na uanze kucheza. Kumbuka kucheza kwa dau dogo kwanza ili kuusoma mchezo ukishaelewa ndipo unaweza kuongeza dau. Hii itakusaidia kuusoma mchezo inavyofanya kazi na kuepuka kupoteza pesa yako pasipokuujua mchezo .
JINSI YA KUWEKA NA KUTOA PESA NYOTA CASINO .
Kuweka pesa katika account yako ya nyota casino Bofya Deposit Kisha fuata maelekezo Kama kuweka kiasi na kudhibitisha katika simu yako ya mkononi. Unaweza kuweka pesa kupitia M-PESA Tigo pesa Airtel money account yako. Pia utatumia njia hizo hizo wakati wakutoa pesa.
HITIMISHO
Zingatia kucheza kistaarabu bila kutumia hasira au ukiwa mlevi, hii itakusaidia kuepuka kupoteza kiwango ambacho huku tarajia. Mara zote unakumbushwa kucheza kistaarabu na kuweka kiwango ambacho hautaumia endapo utakipoteza.