Michezo ya kubashiri Ni michezo yote inatohusisha bahati ili kuibuka na ushindi. Kwa Tanzania tasnia ya michezo ya kubashiri imekuwa ilikuwa siku Hadi siku huku ikiwavutia watanzania wengi wanaotaka kujaribu bahati Yao katika michezo ya kubashiri tanzania. Baadhi ya michezo ya kubashiri Ni pamoja na kubashiri, Soka, michezo ya slots , casino, keno na michezo ya kuzungusha magurudumu (kucheza spin and win) 

Michezo ya kubashiri pamoja na kuwa watu wengi wa nanufaika nayo kwa Kushinda fedha na Zawadi mbalimbali, lakini michezo hii unapaswa kuchezwa kwa tahadhari ili kuepuka kupoteza fedha nyingi wakati ukitafuta ushindi.

Orodha ya michezo ya kubashiri tanzania 

  • Kubashiri mpira wa miguu tanzania
Zipo kampuni mbalimbali ambazo hutoa huduma ya kubashiri au michezo ya bashiri katika Soka Tanzania (sport betting Tanzania) kampuni hizo ambazo husimamiwa na bodi ya michezo ya bahati nasibu Tanzania hutengeneza tovuti maalumu ambazo watu huweka stake zao na kushinda vile vile huandaa programu za maduka ambapo mteja anaweza kuweka beti yake, Baadhi ya kampuni za kubashiri tanzania Ni hizi 
1. 888bet Tanzania : hii Ni kampuni namba moja yanmichezo ya kubashiri ambapo unaweza kubashiri mpira wa miguu, kucheza casino zaidi ya 3000 , michezo ya virtual, Aviator Tanzania, na michezo mingine mingi ya kubashiri mtandaoni. ili kujiunga na 888bet Tanzania unatakiwa kubofya >HAPA>
Mojawapo wa faida za kubashiri na 888 bet Tanzania Ni pamoja na Bonasi za Mara kwa Mara, Ni kampuni ya kubashiri yenye cashout, odds kubwa, na options mbalimbali zitakazo kupa ushindi katika bashiri zako Tanzania.

2. Gal sport Tanzania : hii Ni kampuni namba mbili ya michezo ya bashiri mitandaoni Tanzania na katika maduka. Unaweza kuweka bashiri zako na Gal sport Tanzania kupitia mtandaoni au kubashiri katika maduka Yao yaliyo sehemu mbalimbali nchini. , Uzuri wa kampuni ya kubashiri ya Gal sport Tanzania. Ni pamoja na kuwa bashiri yako haiwezi kuchanwa na timu moja , nimuhimu kusoma vigezo na masharti ya ofa hii. Kujisajili Gal sport Tanzania Bofya >HAPA> na uanze kubashiri na kampuni ya kubashiri ya Gal sport Tanzania.
3. Kampuni ya Kubashiri ya Helabet Tanzania. 
Hii Ni kampuni namba 3 kwa ubora katika tasnia ya michezo ya kubashiri tanzania. Kampuni hii ya kubashiri hutoa Bonasi ya 100% pale wanapoweka salio kwa Mara ya kwanza. Kujiunga na kuanza kubashiri na Helabet tanzania Bofya >HAPA> viele vile ikiwa utapoteza bashiri zako mfululizo Helabet watakupa Bonasi pamoja na Bonasi ya siku yako ya kuzaliwa.

FAIDA ZA MICHEZO YA KUBASHIRI TANZANIA
Zipo faida mbalimbali ambazo unaweza kuzipata kupitia michezo ya kubashiri tanzania baadhi ya faida hizo Ni pamoja na kushinda fedha nyingi, Ni AJIRA, vile vile tasnia ya michezo ya kubahatisha huchangia pakubwa katika kukuza uchumi kutokana na Kodi ya zuio hivyo kuchangai katika ujenzi wa Taifa na kuleta maendeleo.

HASARA ZA MICHEZO YA KUBASHIRI TANZANIA
Ikiwa itashindwa kubashiri kistaarabu unaweza kikubwa na uraibu (addicted) au Kushinda kuacha kubashiri kila siku. Vile vile michezo ya kubashiri inaweza kukusababishia ufukara Kama itashindwa kujicontrol kujua Ni wakati gani wa kubeti na niwakati gani wa kutokubeti

Hitimisho
Kila mmoja anapaswa kufahamu michezo ya bashiri unapaswa kuchezwa kistaarabu na sio kila wakati unatakiwa kucheza michezo ya kubashiri tanzania. Tukutane katika makala nyingine